Ugonjwa huo umethibitishwa katika mji mkuu, Kampala, wizara ya afya ya Uganda imesema. Mwathiriwa ni muuguzi mwenye umri wa ...
Muunguzi mwenye umri wa miaka 32 alifariki katika mji mkuu wa Uganda, Kampala, kutokana na ugonjwa wa Ebola, wizara ya afya ...
Shirika la Afya Duniani (WHO) lmesema kuwa limetuma timu ya matibabu ya dharura kusaidia Uganda kupambana na mlipuko mbaya wa ...
Wizara ya Afya ya Uganda imeripoti kuwa muuguzi mmoja amefariki dunia kutokana na ugonjwa wa Ebola, katika mji mkuu, Kampala.
Wizara ya Afya Uganda, imethibitisha mlipuko wa ugonjwa wa virusi vya Ebola, ‘Sudan Ebola Virus Disease’ (SVD) jijini Kampala baada ya sampuli kuthibitishwa na maabara tatu za kitaifa.