Kiongozi wa Kundi la M23, Corneille Nangaa amesema baada ya kuukamata mji wa Goma, wataendelea na mapigano hadi mji mkuu wa nchi hiyo, Kinshasa.
Jumuiya ya kimataifa imeitaka Rwanda kuondoa wanajeshi wake nchini Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo na kusitisha uungaaji wake mkono kwa waasi wa M23 wanaosema kwamba wanalenga kusonga mbele hadi mji m ...
Dar es Salaam. Rais wa Marekani, Donald Trump amesema mgogoro kati ya Rwanda na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) “ni ...
Baada ya waasi wa M 23 kuingia jijini Goma Januari 26, na kusababisha makabiliano makali na wanajeshi wa serikali FARDC, ...
Imekuwa wiki ya kufedhehesha kwa karibu mamluki 300 wa Kiromania walioajiriwa kupigana upande wa jeshi katika Jamhuri ya ...
Kiongozi wa kisiasa wa kundi la waasi la M23 Corneille Nangaa ameapa kuwa wapiganaji wake hawatauachia mji wa Gomana kudokeza kuhusu azma ya kusonga mbele hadi mji mkuu Kinshasa. Umoja wa Mataifa umee ...
Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) inatarajia kukutana leo Ijumaa Januari 31 katika mji mkuu wa Zimbabwe, Harare, ...
Kiongozi wa waasi ambaye wapiganaji wake wameuteka Goma, mji mkubwa zaidi mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, ...