Wadau wa michezo nchini, ndugu, jamaa, marafiki, wanasiasa na wakazi wa Jiji la Mwanza wameuaga mwili wa Mkurugenzi wa Kituo cha Michezo na Shule za Alliance, James Bwire na kesho ...
NI sahihi kusema Simba imepishana na gari la mshahara baada ya Shirikisho la Soka Afrika (Caf) kupitisha uamuzi wa kuruhusu klabu kuwatumia wachezaji ambao wameshatumikia klabu nyingine ...
WANASEMA jaMBO likimalizika, basi hufuata au lilelile huendelea na hivyo kuwafanya watu kuendelea kulifuatilia au kuanza upya kufuatilia linalojitokeza.
LONDON, ENGLAND: PENALTI ni sehemu muhimu kwa mchezaji kupata nafasi ya kuweka jina lake kwenye ubao wa wafungaji kwenye mechi husika kutokana na imani iliyopo zaidi ya asilimia 70 ya penalti ...
WAZIRI wa Michezo wa Saudi Arabia ameweka hadharani mpango wa kumsajili Mohamed Salah baada ya taifa hilo kupambana kuhakikisha wananasa huduma ya supastaa huyo wa Liverpool.